Bodi ya maji ya Bonde la Pangani inatoa huduma ya Usimamizi wa kutambua uwezo wa kisima/Wingi wa maji katika visima baada ya zoezi la uchimbaji kukamilika, tunatoa huduma hii kwa Kampuni,Taasisi za umma, Taasisi zisizo za kiserikali na kwa mtu yeyote anayehitaji huduma hii.