Usimamizi endelevu wa Rasilimali za Maji katika Bonde la Pangani hufanyika kwa kuzingatia mfumo shirikishi unaotoa fursa kwa jamii katika kupanga na kusimamia matumizi ya maji kama ulivyoainishwa katika mageuzi makubwa ya Sekta ya Maji yaliyofanyika kupitia Sera ya Maji ya Mwaka 2002. Kufuatia maelekezo hayo ya ki-sera, sehemu ya VIII ya Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji Na. 11 ya Mwaka 2009 imeelekeza kuundwa kwa Jumuiya za watumia maji ambazo zimepewa majukumu ya kuhakisha vyanzo vya maji vinasimamiwa ipasavyo katika ngazi ya Jamii ambapo Jumuiya hizo huundwa kwa kuzingatia Kifungu cha 80 mpaka 83 cha sheria hiyo. Mpaka kufikia Juni 2021 Bodi imefanikiwa kuunda na kusajili jumla ya Jumuiya za Watumia Maji 23 ambazo ni:
Na |
Kidakio |
Jumuiya za Watumia Maji |
|
Kikuletwa |
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Nduruma |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji Kikuletwa ya Juu |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Themi |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji Kikuletwa ya Chini |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Sanya |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Kware |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Karanga |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Kikafu |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Weruweru |
|
Ruvu |
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Rau |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Chemchemi za Miwaleni |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Himo |
|
Pangani |
Jumuiya ya Watumia Maji ya Pangani Juu |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji Pangani Chini |
|
Mkomazi |
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Saseni |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Yongoma |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Hingilili |
|
Umba |
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Umba |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Mdando |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Mbaramo |
|
Zigi |
Jumuiya ya Watumia Maji Zigi Juu |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji Zigi Chini |
|
|
Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Kihuhwi |