Uzinduzi wa Alama za Mipaka Kwenye Chanzo cha Maji cha Mto Naura Kilichopo Arusha.
19 Jun, 2022
08:00AM - 12:30PM
MTO NAURA - ARUSHA
Uzinduzi wa uwekaji alama za mipaka katika mto Naura katika kuadhimisha wiki ya mazingira iliyoanza Juni tarehe 1, ambacho kilele chake kitakuwa tarehe 5 Juni mwaka huu.
Mgeni rasmi aliyezindua uwekaji wa alama za mipaka alikuwa Meya wa Jiji la Arusha.